Sunday, November 21, 2010

VODACOM WAKABIDHI MIKOKO 100!!

              mie nii hii swagga ya Mwamvita tuuu   kitu cha begani SHOTO pembeni ni Big Boss wa Vodacom


mikoko yenyewe ndo hiiii.....haya shost yeyote uliyebahatika kuwa mmoja kati wa watu mia kuibuka na mkoko......hebu piga picha nitumie au nistue uliko nikuibukie.....nikusnap ndani ya mkoko wakoooooo tuma via  shamyomy@yahoo.com
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...