Monday, November 29, 2010

KUMBE INAITWA MCHARUKO ;)


 KUNA MDAU KANIANDIKIA NA KUNITUMIA PICHA AKINIJIBU HII STYLE YA KUPAKA KUCHA ,RANGI TOFAUTI INAITWA 'MCHARUKO' IMEPITISHWA?!! SIPATI PICHA UNAPITA KWA DIANA CLOSET UNAMWAMBIA NIPAKE MCHARUKO STYLE...MERCY G NA KATI YA BEAUTY PARLOUR......TUPE JINA LA HII STYLE PLZ

                                                  

  BIBI WEEEEE NA MCHARUKO ZA ANIMAL PRINT ZIPOOOO........WAPIIIIIIIIIIIIIIIIIIII 'MNYAMA'






Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...