WAHI SASA JACKZ ,KUODA PIGA NAMBA 0713 577 777
Jina ndio kama unavyoliona, inaitwa Coffee tu.
Zifuatazo ni hatua za kawaida sana za jinsi ya kuitengeneza
Zifuatazo ni hatua za kawaida sana za jinsi ya kuitengeneza
Ndani ka Kopo moja kuna pakiti ndogo ndogo 26, ila unatakiwa unywe paketi moja tu kwa siku.................
Fungua pakiti moja weka kwenye kikombe
Muonekano wa kahawa yenyewe iko hivi
Weka maji ya moto kwenye kahawa
Kisha koroga bila kuongeza kitu chochote, usiweke maziwa wala sukari
Baada ya hapo unakunywa tu ina ladha nzuri na laini.
Vitu muhimu vya kuzingatia katika utumiaji wa kahawa hii ni:
Usiweke sukari wala maziwa.
Pia katika utumiaji wa kahawa hii kuna umuhimu sana kuwa na nidhamu kwenye swala la chakula, sio unakula ma mikaango tu kisa kuna kahawa,
Mwisho unaweza usione matokeo yoyote mazuri.
Unatakiwa kula matunda mengi, maji mengi, mboga mboga kwa wingi
Na epuka vyakula vyenye mafuta na usile wanga usiku.
Michemsho ruksa, ila kwa kiasi tu, sio unafundiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiia
Jackz Cosmetis ni duka la vipodozi lililoko Kinondoni kwa Manyanya karibu kabisa na Stand ya mabasi, ukipita tu utaona duka linang'aaaaaaaaa.
Ingia upate Coffee na vipodozi.
Kwa mawasiliano piga namba 0713 577 777, kwa wale waliopo Dar es Salaam kuna huduma ya kuletewa popote ulipo kama ukitaka.
Nitatoa menu ya siku 7 unayotakiwa kula wakati unatumia kahawa hiyo, ukiifuatilia kwa makini mambo yako yanaweza kuwa super
Kila Kheri
SHUKRAN::KWA JIDE ALIYEIGUNDUA HII KAHAWA NA NDIO HASWA ALIYEITOLEA MAELEKEZO BAADA YA KUISHUHUDIA MATOKEO YAKE.