SILMAL INVESTMENTS
LEO NAWATAMBULISHA KWENU KWA MABINGWA WA KUPRINT KADI ZA SHUGHULI MBALIMBALI KAMA KITCHEN PARTY, HARUSI,SEND OFF ,KIPAIMARA,BIRTHDAY NK, PIA WANAPRINT CALENDER, BUSINESS CARD,BROSURE NK WANA UJUZI WA KUTOSHA KWANI WAKO ZAIDI YA MIAKA KUMI,NA MALIGHAFI ZAO WANATOA INDIA NA UINGEREZA

WANAPATIKANA::MTAA WA MKURUMAH KARIBU NA TOTAL PETROL STATION
HUU NI MZIGO MPYAAAAAA
rangi tofauti kuendena na color of the event......mamboa yale kadi inaongea bin kujitambulishaaaa
PIA WAPRINT NA KUTENGENEZA
GUEST BOOKS
NA WANAWEZA KUPRINT UPENDACHO KAMA PICHA NK
WANAPRINT WEDDING FAVORS PIA KAMA UONAVYO KEY HOLDER HAPO
SALE!! SALE!! SALE!!
wakati mzigo mpya unaingia wa zamani umeshushwa bei mbayaaaa
hii imekaa kikhalat haswaaaa.....nayo iko kwenye sale pia
ileeee kadi yetu PENDWA NAYO IPO
UIKUTE HII NDO UMELETEWA KWA SHUGHULI MBONA UTAACHA CLUTCH MAANA KADI YENYEWE NI FULL SWAGGA
HAPA UKICHUKUA HII HUNA HAJA LA LESO SHUKRAN , RATIBA ZOTE NI MUMO HUMO
MAASHAALLLAW!!!
UKIFIKA UTAKABIDHIWA HII KITU UCHAGUE IPI.....VEREEEE PROFETIONAL |