NIMELETEWA HIZI LEGGINGS SIJUI JEGGINGS ZA NGOZI KAMA MNAVYOONA PICHANI, SASA ANGALIZO LANGU NI HILI , JE HUKU BONGO NA HILI JUA NITAIVALIA WAPI AU NIFE NA FASHION KAMA WANAMUZIKI WETU WAKIBONGO WANAVYOKOMAA NA MAKOTI YA NGOZI JUKWAANI JUA KALI MCHANAA
BEYONCE!! NAE ANA YAKE