Sunday, November 21, 2010

GRM PRODUCTION NDANI YA LIBENEKE!!


                                         wanafanya movie production wana studio za picture na wanahudhuria matukio mbalimbali hapa mujiniiiii haya watembelee humu uone kazi zaoooo KONG'OLI
           kwa sherehe za harusi, sendoff na aina zengine ndo walipobobea haswaaa.......wanahama nastudio hawa

na ndio wapishi wakipindi cha wanawake live navingine viiingi hapa bongo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...