Thursday, November 25, 2010

INGIZO JIPYA...RANGI ZA KUCHA MIX

SIKU MBILI HIZI NIMEKUWA NIKIONA MASUPERSTA  WA BONGO NA ULAYA PIA WAKIWA WAMEPAKA RANGI ZA KUCHA RANGI TOFAUTI TOFAUTI  KWENYE MKONO MMOJA TOFAUTI NA VILE TULIVYOZOEA MTU KUPAKA RANGI MOJA KUCHA ZOTE SIKU HIZI UNAONA KIDOLE GUMBA KINA RANGI NYEKUNDU, KIDOLE CHA SHAHADA BLUE, KIDOLE CHA PETE KIKIWA NA YELLOW , HUKU DOLE LA KATI LIKIWA NA NYEUSI NA KIDOLE KIDOGO KIKITIWA RANGI YA KIJANI, NIMEJARIBU PITA VIJIWE MBALIMBALI WANAKOTOA HUDUMA ZA RANGI NIMEKUTANA NA WATU WAKIPAKWA HATA WALE KAKA ZANGU WA KISAMBAA WANAOPITA MITAANI NA VITENGA VYAO NA KABOX KAMEWEKWA STYLE ZA MIPAKO NAO WANAPAKA IYO STYLE na bila KUSAHAU...ZAMANI RANGI ILIKUWA NYEKUNDU AU TUPINK TOFAUTI NA SASA HADI RANGI ZA BLUE ,KIJANI NAZO ZAPAKWA
....tuambiane inaitwaje?!!






mdau nawe ndo SWAGGA ZAKO NINI? hebu nitumie pitia shamyomy@yahoo.com
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...