WAMETIMIZA MIAKA KUMI TANGU WANZE KUTUPA RAHAA WATZ
WACHAKARIKAJI BORA WALITUNUKIWA.....MWAMVITA MAKAMBA NI MMOJA WAO
DA NELUSIGWE MWANGOTA NAE PIA YUMOOO
HONGERA VODACOM ENDELEA KUONGOZA NA UTAONGOZA DAIMAAA