HIVI SAA WANAWAKE TUNATAKIWA KUVAA MKONO UPI KUSHOTO AU KULIA? kuna saa nimeletewa DHAWADI (Tx Monica) ILA MIE MKONO WA SHOTO NDO BRASSLET YANGU HUNIVUI NA NINATAKA NIJIFUNZE VAA SAA, ITAKUWA POA NIVAE MKONO WA KULIA AU NDO NIVAE ZOTE MKONO WA SHOTO
ANGALIZO:: VIDOLE AMBAKO UMEVAA PETE ZA NDOA NAONA KAMA HAINOGI KUJIVIKA PETE ZINGINE TOFAUTI MAANA NAKUTANAGA NA WENGINE WAMETINGA PETE ZA NDOA, DOLE KATI LIMEVISHWA COCKTAIL RING , HUKU MKONO WAKULIA UMEVIKWA COCKTAIL NA MAZADA ZAGA MENGINEYO