NDIYE MUAKILISHI PEKEE ALIYEBAKI KWENYE SHINDANO LA TUSKER PROJECT FAME LINALOFANYIKA NCHINI KENYA .... AKIPEPERUSHA BENDERA YA NCHI , NA ANAWEZA, TAFADHALI MTANZANIA MPIGIE KURA PETER MSECHU ASHINDE SABABU ANAWEZA, AKISHINDA YEYE IMESHINDA TANZANIA......KUPIGA KURA ANDIKA TUSKER9 KWENDA NAMBA 15522
hadi jaji IAN mwenyewe kamkubali |