BAADA YA KUTUNUKIWA ...'MY CREW' WALIOMBA WANIPE WALAU KINYWAJI KAMA SI LUNCH......HAOOOO TUKATUA SPUR
THANKS TO MY CREW.....walionisaidia kazi
Dinna DDU
Martin....MVUTO KWANZA BLOG
RACHEL.....kawine ;)
Bila kumsahau ZUNGU aliyesababishaa picha za fremuni....ndani ya studio ya IVIEW tx jigga ;)
NIKAONA SIKU ISIISHE BURE NIKAUNGANA NA FAMILIA YANGU NA NDUGU ,JAMAAA NA MARAFIKI.....kupata kadinnner katika mgahawa wa NAWABI KHAN....Shukran nyooote mlioungana nami ....mbarikiwe saana
HAHAHHAH sijui mmestukia kitu?!!! ehe ni nini?!!! |
'PPS' PICHA MKATO |
NASHUKURUUUU SAANA KWA dhawadiiiiii ;)
JIUGONJWAAA....tx Olivia
jiuaaaa......tx Halima
madiiiini mama madiiini....tx sylvia
shukran na tenaaa kwa woote mlojumuika nami , NA SHUKRAN NYINGI KWA MUNNA KWA KUNIPURAAA ,safarii hii alinirambisha lipstick loh salaleee , anayetaka kupurwaa amcheki kupitia namba 0713 761133