SILMAL INVESTMENTS
LEO NAWATAMBULISHA KWENU KWA  MABINGWA WA KUPRINT KADI ZA SHUGHULI MBALIMBALI KAMA KITCHEN PARTY, HARUSI,SEND OFF ,KIPAIMARA,BIRTHDAY NK, PIA WANAPRINT CALENDER, BUSINESS CARD,BROSURE NK WANA UJUZI WA KUTOSHA KWANI WAKO ZAIDI YA MIAKA KUMI,NA MALIGHAFI ZAO WANATOA INDIA NA UINGEREZA
WANAPATIKANA::MTAA WA MKURUMAH KARIBU NA TOTAL PETROL STATION
MAWASILIANO::+255 22 2120828  .......0713 213 300 ......0715 /0754 665 989 .....
                                           HUU NI MZIGO MPYAAAAAA                                                   
            rangi tofauti kuendena na color of the event......mamboa yale kadi inaongea bin kujitambulishaaaa
                                                                     PIA WAPRINT NA KUTENGENEZA                                                              GUEST BOOKS
                            NA WANAWEZA KUPRINT UPENDACHO KAMA PICHA NK
            WANAPRINT WEDDING FAVORS PIA KAMA UONAVYO KEY HOLDER HAPO                             
SALE!!        SALE!!          SALE!!                                 wakati mzigo mpya unaingia wa zamani umeshushwa bei mbayaaaa
                                                        hii imekaa kikhalat haswaaaa.....nayo iko kwenye sale pia
                                                 ileeee kadi yetu PENDWA NAYO IPO 
 UIKUTE HII NDO UMELETEWA KWA SHUGHULI MBONA UTAACHA CLUTCH MAANA KADI YENYEWE NI FULL SWAGGA 
   HAPA UKICHUKUA HII HUNA HAJA LA LESO SHUKRAN , RATIBA ZOTE NI MUMO HUMO 
                                                              MAASHAALLLAW!!!
  | 
| UKIFIKA UTAKABIDHIWA HII KITU UCHAGUE IPI.....VEREEEE PROFETIONAL | 
     SILMAL WANAENJOY KUKUHUDUMIA  .....karibuuu