Sunday, September 5, 2010

MSHAURINI HUYU!!

HABARI NA POLE NA KAZI
SAMAHANI MIMI NINA ALAMA ZA CHALE SASA ZINANIKERA SAANA KIASI KWAMBA SIWEZI KUVAA NGUO ZA WAZI , NIFANYAJE ILI HIZO ALAMA ZIISHE, SHUKRAN KAZI NJEMA
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...