MI NI BIHARUSI MTARAJIWA...NAPENDA SAANA HIVI VMWAMVULI VINAVYOBEBWA NA MABIHARUSI, KABLA YA KUUBEBA, IKABIDI NILETE KWENU WADAU ATLIST NIJUE, UNABEBWA NI KWA AJILI YA SWAGGA TU(NILIONA NA HARUSI YA DADA RITA) AU INATEGEMEA NA NINI NAOMBA MNIJUZE ILI SIKU HIYO NIKIBEBA NIWE NAJUA NAFANYA NINI NA NIJIAMINI KATKA HILO
SHUKRAN
MTARAJIWA!!