MATRON::SUZAN
VENUE::HELLENIC CLUB
THEME::AFRICAN TOUCH....vitenge
MC::ADELLA
DECOR:: CREATIVE OPTIONS TZ
PICTURE::AR PHOTOGRAPHER
BI HARUSI NA MATRON WALIVAA KITAMBAA CHA GEORGES....mtoto wa kike ubunifu bibi....MAMBO YA KUVAA vitenge sare na waalikwa INAHUUUUU...utafunikwa SHOSTITO....kuna aina tofauti ya vitambaa KAMA Brocade,swiss voile, Holland/Dutch ,Super Java Gold, Embossed Ankara, Super Woodin,UniGold, Obama Gold ,Metalic Dew-Drops, Julius Holland/Dutch na Geoges UKITAKA TUWASILIANE |
JIUGONJWA LILIKUWA LAAINA YAKE...ILIKUWA KIMILA ZAIDI MHUSKA NI MKEREWE HIVYO WAKAONA WAJE NA CAKE YAO ....MAJIBU KWA WACHAGA NA NDAFU ZAO...MPO!!!!!
Mc Adella akiwa na DJ wake wakifanya mambooo |
. PICHA MKATO!!!
Mie niliguswa na hii Lady Gaga STYLE ya mama Anna kulia...ilikuwa ni balaaaa Ana upo
MBALI NA VITENGE KAMA SARE....WANAKAMATI HUSIKA WALIKUWA NA MAUA YA KICHWANI....Chezeyaaaaaaa
Mwenyekiti nilikuwa na kauzungumzi kidoogo!!RED CARPET
hii aliyovaa Mama pia nayo ni GEORGES MATERIAL ' JOJI'
NILIGUSWA JINSI HUYU DADA ALIVYODESIGN.....inapendezaa EEE?!!
Kudadadeki utasema mpo Bella Naija eeee..........wink!!
ORGANZE NAZO ZILIHIT SIKU HIII
WATU TULIPENDEZAJE??!!! lol!!
na hii ndo kamati iliyotimiza shughuli ikiongozwa na MWENYEKITI mimi, KATIBU wangu OLIVIA MAMA WA VIATUZIII.....UMEIPENDA UNGEPENDA TUKUSHAURI KUHUSIANA NA HARUSI YAKO.....SOON HUDUMA HIYO UTAIPATA HAPAHAPA 8020 FASHIONS