.
Ninafungua duka la vitenge arusha, litakuwa na vitenge from all angles yaani aina zote pamoja na other materials similar to vitenge. Sasa nataka hapo dukani niwe na fundi because watu wengi huwa ni wavivu kununua kitenge alafu atoke akatafute fundi anaona usumbufu anaacha, sasa ndio hapo shida yangu inapokuja ya kupata fundi kabla sijafungua.. Mpaka sasa sina idea ya fundi, sijashona nguo huu mwaka wa tano sasa hivyo sijui mafundi, please kama unamjua fundi yoyote naomba nipe contacts, namtaka awe fundi mzuri na mjuzi awe anaweza kushona vitenge vya different styles, na kwaajili ya mishono mbali mbali, you know what I mean, yaani kuanzia labda kitchen party, send off nakuendelea. Please hook me up with any fundi.
MODE OF PAYMENT TO THE SUCESSFUL FUNDI:
1. Wage based on the number of clothes done.
2. Accommodation and Lunch based on me.
3. Vingine tutaelewana nikishaonana nae
4. I will need to do reference check pia huko alikotoka.
ntashukuru kama mtanisaidia.
mawasiliano:: 0772 644225