Thursday, September 30, 2010

GRACE PRODUCTS LTD!!


      Grace products ltd ni kampuni inayojihusisha na utengenezaji na usambazaji wa sabuni zakufulia, shampoo yenye conditioner na sabuni za kuogea zenye dawa na madawa ya chooni.  KUWASILIANA NAO NA MAELEZO ZAIDI KUHUSU BIDHAA ZAO WASILIANA NAO KUPITIA

SIMU::0759 188327, 0782 631351, 0717 069059

EMAIL::emajabi@yahoo.com

Hutibu fangasi wa aina zote sehemu za siri candidas huondoa harufu mbaya za ukeni,Pia huondoa ute mchafu ukeni tumia kila uendapo uani ,ogea na kufulia nguo zako za siri.

 
Huondoa mafuta kwenye ngozi huua bacteria ,huondoa madoa madoa ,ukurutu,harufu mbaya mwilini,mikunjo ya ngozi isababishwayo na umri mkubwa

                            
                       Hutibu kansa ya ngozi ,hurudisha katika hali yake ya kawaida ngozi iliyoathiriwa na krimu

 
Ni sabuni nzuri ya kutibu magonjwa ya ngozi ,fangasi ,utangotango ,harara,fangasi za miguu,mapunye kichwani .Pia ni nzuri kwa kunyolea ndevu bila kutokwa na vipele.

 Ni sabuni ya kusafisha nje ya uke,kuondoa harufu mbaya ukeni ,kuufanya ukke kuwa katika hali yake ya asili.
                                                    Grace power soap

Inayeyusha mafuta katika mishipa ,mzunguko wa damu na kuleta nguvu mwilini kwa majukumu ya ndoa ,madereva na yeyete afanyae kazi nzito


Ni dawa ya kutibu fangasi za kichwani ,mapunye ,utangotango,hukuza nywele na kuzuia kukatika.kwa wale walioungua na krimu inarudisha ngozi katika hali yake ya kawaida.ni nzuri kwa rika zote.


Kwa kusafishia nywele, Kufanya nywele zisikatike, Zivutie ,ziwe nyeusi,kukuza Kuondoa mba,kuzifanya zivutie na zenye kung`ara.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...