Tuesday, September 28, 2010

NEW ARRIVAL......BINTI AFRIKA!!


SASA HIVI WAMESHUSHA BLAZER , BATIKI MPYA, ACCESORIES NA MADISH DASH ,MAGAUNI  N.K
WANAPATIKANA:: KINONDONI B KARIBU NA MSIKITI ZA MTAMBANI MAWASILIANO::0653 777774
  WOW!! MIE NIMEGUSWA HAPA NISHAPELEKAA ODA YANGU........IKITOKA TU NITAWARINGISHIE MNITHAMINISHEEEE
        VIATU VINAKUWA VYAKO WAO WANAKUVALISHIA TU KITAMBAAAAA
                                   HEBU ONA ALIVYOTOKEAAAA......najipatia pichaa NITAPENDEZAJE


                  ukipate hiki kwa ofisini  hata mtoko wa hapa na paleee....wapiiii kitchen party!!


                                   MMEONA DISH DASH ZA KITENGEEEE.....wink!!


                                                MAXI DRESS YA BLUE HIYO HAPOOO
ENJOY SHOPPING WITH BINT AFRIKA
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...