Wednesday, September 29, 2010

MSHAURINI

mambo shamy,najua uko ktk maswala ya urembo kwa ujumla,nisaidie kwa hili....nywele zangu zimebadilika rangi zimekua nyekundu na ni kavu mno...kiasi kwamba hata nkienda saluni kuosha na kuset au nikiritachi.... nywele bado zinakua kavu kama hazina mafuta yan mpk roho inauma mana cna raha tena ya nywele zang,plzz nitumie nini nywele zangu zishain ziwe lain????

"mie kama shamim nakushauri ujaribu T444Z.....imenisaidia saana ntawaonesha b4 and after soon "
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...