JAMANI MFANYE MUJE KUANGALIA SHOW ZA UKWELI, PATA PICHA SHAMIM JUKWAANI NACATWALK....JUU NA HIGH HEELS SI MIELEKA IYOOO.....UNAINGIA MWANZO WA STAJE HADI MWISHO NAANGUA KICHEKOOO....KWA KWELI ITAKUWA ZAIDI YA FASHION SHOW......MACELEBRITY WOOOTE WA BONGO KATIKA FANI YA MITINDO NA WADAU KUTOKA SEKTA MBALIMBALI SIKU HIYO NDO WATAKUWA JUKWAANI.....MAMODEL WATAKUWA WANATUPIGIA MAKOFI...PWA!! PWA!! PWAA!!
SI YA KUKOSA HIIIII!!!!