WOW!! HAKIKA ELIZA NI MPIGANAJI....HEBU MCHUNGULIENI HAPO ALIVYOKUWA ANALIKAMUA STAGE UTASEMA BONGE LA MZOEFU HAKIKA ALIKAMUA full swagggga.....mie namuonaga kama Keri hilson...mimi hapa navyomuona na hiyo style ya nywele ndo kabisaaa......
NA HONGERA MWSHO NA WIFIII MERYL ...BIG BRO HII INAWALETEA WATZ WAKWE, MAWIFI NA MASHEMEJI....TUENDELEE MPIGIA KURA MWISHO ACHUKE PESA HIZO WAJE WAISHI RAHA MUSTAREHEE.....ninahamu mie na shughuli bibi!!