Thursday, September 30, 2010

ANGALIZO....FLATS ON MY WEDDING!!

MAMBO ZEZE MIMI NI MDAU WAKO MKUBWA NA NIMEFURAHI ULIVYOANZISHA HICHI KIPENGELE CHA ANGALIZO NA JUZI NIMEONA BI HARUSI KAULIZA KUHUSU KIMWAMVULI NIKAONA NAMI NISHEE HII YANGU

MIMI NI BI HARUSI MTARAJIWA NATAKA SIKU YA HARUSI YANGU NIVAE VIATU FLAT KAMA HIYO NILIZOKUONESHA PICHANI ILA ZENYEWE NYEUPE NA ZINA HIZO STUDS ZA GOLD AS NTAVAA WHITE AND GOLD ACCESORIES. IYO MWAIONAJE NITAKUWA NIMECHEMSHA KUVAA FLATS KWENYE MY WEDDING DAY....MIMI SIWEZI KUVAA HIGH HEELS AS I AM NOT COMFORTABLE...NA I DONT WANT TO RUIN MY DAY KWA KUVAA MAVIATU AMBAYO SIKO COMFORTBALE NAYO.

WILL IT BE OKEY?!!

BRIDE TO BE!!


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...