MNADA UNAENDELEA JAMANI .....NASHUKURU MNAOPIGA SIMU NA KUTUMA SMS NA EMAIL JAMANI...HIZI NGUO ZIMETENGENEZWA SPECIAL KWA HARUSI NA SHUGHULI KUBWA KUBWA KAMA HIZI , NA SIZE ZINAANZIA 6 KADI 16 SIZE YA KIMAREKANI.....NA INA SPACE KUUBWA NDANI AMBAYO TWAWEZA ONGEZA AU KUPUNGUZA MFANO MIMI NAVAA SIZE 14 ILA NGUO SIZE 8 IMENITOSHAAA SABABU INA ZIPU MBILI...na tuna fundi wetu atakutengenezea...nunua nguo uchangie CCBRT
KARIBUNI TUENDELEE NA MNADA $ 150 NDO YAKUANZIAA
12:12 PM
shamyomy@ yahoo.com
NI NAFASI HATA KWA WATU WAMIKOANI MWANZA, ARUSHA, DODOMA,MOROGORO NK NAWALIO NJE YA DAR KUSHIRIKI KUCHANGIA MFUKO HUU....KARIBUNI SAANA
namba 1 .....nyuma namba moja
namba 2
dress namba 2 nyuma
dress namba 3
namba 3 nyuma
dress namba 4
dress namba 4 nyuma |
dress namba 5 nyuma
dress namba 6
KUANZIA DRESS NAMBA MOJA HADI TANO NDO ZITANADIWA DAU LA KWANZA DOLA 150 KWENDA JUU .....MWENYE DAU KUBWA NDIO ATAONDOKA NA NGUO......KARIBU KWENYE MNADA PIGA SIMU AU SMS PANDA DAU
.....$ 150!..........$150.........$150
dress namba 7dress namba 8
dress namba 8 nyuma
dress namba 9 nyuma BOOKED
dress namba 9 mbele
dress namba 10
dress namba 11
dress namba 12
KUANZIA DRESS NAMBA 7 HADI 12 HIYO UNANUNUA KWA $ 150 TU...BUKU MAPEMA TUIONDOE KATIKA MNADA KARIBUNIII MNADANI
PIGA AU TUMA SMS TAJA NAMBA YA GAUNI NA DAU LAKO
wanaume watakuwa wamepiga kitu cha TUXEDO!!
wanaume watakuwa wamepiga kitu cha TUXEDO!!
SHUGHULI ITAFANYIKA::HILTON DOUBLE TREE HOTEL
MUDA ::SAA MOJA USIKU
THEME:: BALL DRESS/GOWN & SUIT,BLACK TIE
COLOR::BLACK & WHITE
ENTRANCE::$100
ENTERTAINMENT::FROM LEGENDARY DR RHUMBA FROM IRELAND
3 -COUSE ELEGANT DINNER, LIVE BAND & DANCE
dont miss this!!!!