Wednesday, September 22, 2010

MSHAURINI!!

WADAU , ZEZE habari zenu , jamani leo kwa mara ya kwanza nimeamua nami kujidumbukiza kwenye 8020 nikiwa kama mhusika kwani nina tatizo ambalo naomba mnisaidie.

mie tatizo langu nina matuta napenda kuyaita mabuja mwilini sana sana kwenye mapaja kiasi kwamba nikivaa nguo ya kubana au hata suruali mfano nyeupe yanaonekana mwili una mabonde mabonde ivyo naomba mnieleze nini nipake au mazoezi gani nifanye niweze epuka na mabuja buja plz

mdau mwenzenu
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...