Sunday, October 24, 2010

ANAHITAJI MSAADA

Hellow! Hongera kwa kazi nzuri unayoifanya...mi tatizo langu chunusi,halafu pia natamani sana kuwa na ngozi nzuri inayovutia,mi mweusi isiyo na mabaka,lakini pia miguu na mapaja,nataka niondoe spots,utansaidiaje? pls,mana naona aibu kutembea na rafiki zangu since wote wana ngozi nzuri,nikiwa nao yani i look rough

Mdau Bongo Urembo
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...