Tuesday, December 14, 2010

SEQUINE A.K.A UNG'ARONG'ARO

 THANKS TO MAMA JJ AMENILETEA MIE HICHI KIPOCHI WENYEWE SIJUI WANAITA BABY NINI.....ILA NDO SWAGGA ZA SEQUINE ILA NDO KIDUCHU CHAINGIA SIMU TU WAKATI MIE NAPENDA CHA KUINGIA JICAMERA....ndo swagga hizo hakuna jinsi ;)


                           ukikuta kiguo kimetupiwa ung'aro ng'aro usikikimbie kibebe mama
                           kuna vya rango tofauti usikremishe cheusi pekee ...mie nasaka cha kulia icho
                           haswaaa huu ustrips ndo wenyeweee na urefu huu hakika sikiachiii
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...