WANAPATIKANA::KINONDONI A (MANYANYA) KARIBU NA MAHAKAMA YA MWANZO AU TUMAINI UNIVERSITY
WAPIGIE:: +22- 2760591
MATENGE YALIVYOPANGANA
KITU READY MADE!!
HICHI NI KITAMBAA CHA DIRA BIBI KIMETOLEWA KIVAZI CHA USIKU
KUNA BAZEE NDO HIZI... UNAFIKA UNATAKA SIZE UNAPEWA UNAJARIBU UNALIPIA UNAONDOKA.....kitu na box
MSIOWEZA JIFUNGA KAMA MIMI HIZI MAZEE ZIMESHONWA MUUNDO WA SKET, NI KUVAA TU MIE NILIKUA NAHOFIA LIKINITEREZA SASA TUMERAHISISHIWA NI KUPENDEZA BIN KUNOGA SHOST
MASHATI YA KIUME KITAMBAA BROCADE FABRIC YA WEST AFRIKA achia ile ya kike ya kichina.....Lol mwaka huu NTAJUA VYOTEEE
MZIGO WOTE HUU UTAKOSAJE SASA?
ENJOY SHOPPING WITH ROZELLA