Wednesday, December 1, 2010

LADIES NIGHT OUT!!.......hii yaitwa raha jipe mwenyewe ;)

mama JJ kama nachungulia kitu cha BOYFRIEND WATCH hapo kati
mama Sasha naona ni full mnyama nana mama JJ naona mnyama pia...yaani ANIMAL PRINT
chantell ukaona usipitwe lazima utupie kitu cha MNYAKA CLUTCH....animal print  kwapani
                                           Mambo yenyewe yalikuwa haya ya JAZZ ..fulu uzungu!!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...