EVENT::KITCHEN PARTY
THEM::AFRICAN
MC::MISH B
COLOR::BROWN & WHITE
VENUE::MARKHAM -MAY FAIR PLAZA
PICTURE::THANKS TO GRM PRODUCTION
ah sare haziharibu shughuli jamaniii dah....hapa nimekosa ZULIA JEKUNDU TU ilikua balaaa hii
HII ZAWADI ALIPEWA MAMA.....HUKU MASHANGAZI WAKITUNZWA SETI ZA DHAHABU....MH SIJAWAHI ONA HII NAJUA BI HARUSI NDO ANATUZWAGA....chezeyaa watu na SWAGGA ZAO!!
BIBI WE MAMBO YA KIAFRIKA HAYA DAFU NDO LILIKUA KIFUNGUA KINYWA