Tuesday, December 14, 2010
HII INAITWA NDOA YA KUJITOA MHANGA!!
Arin Safadi 24) ni raia wa Golan Height (mji unaokaliwa na Israel) ambaye alichumbiwa na kutarajiwa kuolewa na mchumba wake Arin Safadi (24) toka mji wa Sysria. Story yao inasikitisha ingawa ni mwanzo wa maisha kwao wote. kutokana na nchi hizo mbili kutokuwa na uhusiano mzuri wala wa Kibalozi, safari za Binti kwenda kuishi Syria inakuwa ni chungu kwa upande wa familia ya Binti kwani hawawezi kumuona tena, kwani hatoruhusiwa kurejea nchini kwake na kusisitiza hilo inabidi asaini makaratasi mpakani kabla ya kuvuka.
Tukio hili lina zaidi ya mwaka mmoja na limepelekea kampuni kubwa ya utengenezaji wa sinema kuamua kuintengenezea sinema baada ya kuvuta hisia za watu wengi pale picha hizi zilipochapishwa kwenye magazeti kwa mara ya kwanza.
KWA HABARI ZAIDI INGIA SPOTI STAREHE