'Nimegundua kwamba watu wengi wanapenda kununua viatu vinavyoendana na nguo zao tu , kwa mfano , utakuta mtu anavaa nguo ya hot pink , au green basi kama hanunui kiatu cha hot pink au green atataka cha gold , silver au black , wakati unaweza kuchanganya rangi na mambo yakawa shwari kabisa na ukapendeza . Hayo ndio mambo ya colour combo'... VIATUZI.
UNAWEZA VAA RANGI HATA TATU MFANO KIVAZI KINA RANGI MBILI NA KISHA UKATINGA KIATU KINA RANGI TOFAUTI AMBAYO INAENDA SAMBAMBA NA VITUPIO Accesories...JARIBU UTANIAMBIAAA.....NA KAMA WE NI MTU WA KUPIGA COLOUR COMBO....NITUMIA VIA shamyomy@yahoo.com
HAYA MAMBO YA COLOUR COMBO SOON UTAYAPATA DUKA LA VIATUZI sea View Upanga kuona na kuanza kuchagua wazungukie HUMU