Monday, January 3, 2011

MC DUNIA

 


  HAYA HAYA MAMBO YA 'KKW' KIZURI KULA  NA WENZIO HUYU MAMA NILIKUTANA NAE KATIKA HARAKATI ZANGU ZA KUSAKA SHILINGI, KWANZA ALIINGIA NA KUSEMA ANAUZA RIWA NIKAJITWALIA RIWA YANGU...AKAONA TUMECHANGAMKA AKATOA KADI AKASEMA TENA MABINTI NAWAALIKA KWENYE SHUGHULI KUTOA KADI IMEANDIKWA

MCHANGO WA KUFUNDWA

MC DUNIA AKISHIRIKIANA NA JOPO LA MA MC WATATU WANAYO FURAHA KUKUJULISHA KUWA BI.....................................
KUFUNDISHWA MAMBO YA NDANI  NA JINSI YA KUONGEA KUKATA MAKALI YA HASIRA NJOO UONE MWENYEWE USINGOJE KUHADITHIWA NA MTU NJOO WA MAMA WA NDANI ...MCHANGO WAKO  UTAFANIKISHA SHUGHULI HII YA MAHABATI NJOO UFUNDISHWE KUKATA VIUNO

NIKAMWAMBIA HAYA HEBU NIONESHE MFANO, NIONE SWAGGA ZAKO NDO IYO VIDEO KAMA MNAVYOONA KAMA MKIPENDA HUDHURIA MUWASILIANE NAE

MC DUNIA::0718 055127


POLENI VIDEO UMEGEUKA HAYA YANYENI MAZOEZI KWA KUPINDA SHINGO....BADO MGENI NA MAMBO HAYA NDO NAPATA DARASA.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...