HAIR DO'S
sharobaroooooo walikuwa wakumwagaaa.........cheki swagga za supra unyayoni
HHAHAHAHHAHA MAMBO YALIKUWA HAPA NILIONA RAHA KUKUTANA NAE NIKAONA NIACHIE MIKONO IFANYE KAZI ZAIDI NI ULEEE MSITARI
"SI KAMA SIWEZI KUSEMA, NAWEZA MPAKA KUKESHA ,NAZIEPUKA LAWAMA MIE ZENGINE ZINAKONDESHAAA.....wapenzi wa taarab tuko pamojaaa wapi Fina wa mkoa ZAWADI YAKO IYO"