VENUE::PARADISE CITY
COLOR::BLACK & YELLOW
KEVIN NAE ALIINGIA NDANI YA NYUMBA
MAMA EK FOOT WEAR HAPO SHOTO ....ALIKUWEPOO
WAMAMA WALITINGA MATENGE HAYA ....FULL KUNOGAAA |
KULIKUWA NASARE 'ESOEBI' ....NA WAVAAJI WALIKUWA WADADA WALINOGA WENYEWE WALIPIGA KITENGE SARE NA WAMAMA NA KITU YA LINEN HAPO JUU |
MAWIVI ZETU HAOOO..... |
KUCHEZA ILIKUWA MWANZO MWISHOOO BWANA HARUSI WALIPOKUTANA NA BI HARUSI NI KUSAKATA MPAKA MWISHO...NAPATA PICHA NYUMBA KWAO WAMEWEKA REDIO SAUTI YA KUTOSHAA....WANAPISHANA KORIDON LAZIMA WACHEZE KIDOGO...MAANA WANASTYLE YAO WANACHEZA HADI CHINI KAMA WANACHEZA MPAMBING..... wazee wenzangu wa wazamani mtaikumbuka LOL!!
KALE KASTYLE KETU KA KWAITO KALIDUNDWA
mama mzaa chema ....
Aunt alomuandalia Eliza
HAHAHHAHA ILIKUWA MAMBOOO YALEEE YA KINIGERIAAA...FULL MAHELLA......NIGERIAN SWAGGA ZILIANZIA BONGO....
mamaa Amina design na Angela Bondo Mamaa wa cherekooo
nairaaa .......dollar.....na tsh kwa mbaliiiii
SWAGGA!!
kulikuwa na favors....tuliondoka na hii kitu.....THANKS ELIZAA
KITU CHA MNYAMA.......hahahha ni MWENGE HAURUKI KIJIJI HAKIKWEPEKI
MAMBO YA 8020 FASHIONS HAYA
NA MKAE MKAO WAKULA KUNA KAVIDEO KIDOOGOO NAKANDAA NITAWATUPIA HAPO KATIIIIII MPATE KUSELEBUKA NASI LIVE ..;) msibonyeze kipanya!!