KUNA MDAU KANIANDIKIA NA KUNITUMIA PICHA AKINIJIBU HII STYLE YA KUPAKA KUCHA ,RANGI TOFAUTI INAITWA
'MCHARUKO' IMEPITISHWA?!! SIPATI PICHA UNAPITA KWA DIANA CLOSET UNAMWAMBIA NIPAKE MCHARUKO STYLE...MERCY G NA KATI YA BEAUTY PARLOUR......TUPE JINA LA HII STYLE PLZ

BIBI WEEEEE NA MCHARUKO ZA ANIMAL PRINT ZIPOOOO........WAPIIIIIIIIIIIIIIIIIIII 'MNYAMA'